Ni moja ya sehemu katika Tanzania iliyo na vivutio vingi hapo ni Mahenge ulanga sehemu ambayo kuna madini ya ulanga mbali na hilo kuna historia kubwa sana ya wazee na wakoloni wa zamani kama kaburi la martin ambalo watu wengi huja kuomba shida zao na kutatuliwa. kuna kanisa kubwa la kihistoria na mawe ambayo yanasadikika kukua. karibu Mahenge ujionee
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni