
Lipo nchini Japan na wamiliki wa hotel ambayo hii swimming pool ipo walipata idea ya kulijenga kutoka kwa malkia wa Misri enzi za kale Qleopatra ambaye inasemekana alikuwa na Kawaida ya kuoga kwenye mvinyo ili kurutubisha ngozi yake na ilikua laini sana kwa wale ambao wamewahi kuona baadhi ya picha za malkia huyo.
so hata bongo this idea may work coz ni wanawake wengi wanaopenda kulainisha ngozi zao na wanashindwa hivyo hutumia vipodozi ambavyo huwaharibu ngoz zao.
Mvinyo huo unamwagika toka kwenye chupa unayoiona hapo kwenye picha ina urefu wa mita 3.6 .yaan kama ni kunywa hii watu elfu kumi wanakunywa na kulewa vizuri sana
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni