Morsi sasa kitanzini;

Morsi ambaye anaugwa mkono na kundi la vuguvugu la muslim brotherhood ambao nao wanamashitaka sawa naya raisi huyo.
Raisi huyu ambaye sasa amefichwa sehemu ambayo haijulikana hii ndio mara yake ya kwanza kwa shitaka hilo kusomewa tangu ang'atuke madalakani. Maakama hio ilisema Morsi anashtakiwa kwa kuchochea mauaji na ghasia mnamo mwezi Disemba mwaka 2012.
:hawa ni baadhi ya wafuasi wa mohamed morsi wanaoandamana ili kiongozi huyu aweze kuachiwa huru bila mashitaka yoyote.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni